FAMILY X-MAS PARTY



FAMILY X-MAS PARTY

Tarehe 23. 12. 2009
Saa 9 – 12 jioni
Kiingilio Bure kwa members na Shs. 2,000/- kwa wengine
Matukio
• Watoto watapiga nyimbo za X-mas kwa kinanda (Piano)
• Watoto watafanya maonyesho ya mavazi
• Watoto watacheza mziki
• Watoto watafanya igizo la kuzaliwa mtoto Yesu
• Face painting
• Games
• Jumping castle
• Washindi wa insha ya X-mas watashiriki
• Chakula na vinywaji vitaunzwa
• Maonyesho na mauzo ya vitu mbalimbali vya Watoto

Je ungependa kushiriki? Tupigie simu kwa namba hizo hapo chini
Tupo Kawe beach Area. Tel: +255 222 780391, 0715 203303.
Email: darafterschool@gmail.com
Blog: http://darafterschoolcenter.blogspot.com

Sponsored by TBC1 and MAJIRA

Comments